Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Magufuli na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete wakionyeshsna upendo wa dhati wakati wakiagana, Dk. Magufuli aliookuwa akitoka mkoa wa Paani kwenda mkoani Tanga kuendelea na kampeni zake za CCM kusaka kura za kishindo, jana.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇