LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 5, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA UINGEREZA, PAKISTANI NA USWISI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha  kwake balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwangalia  balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem akiwasilisha kwake hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimwangalia  balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem akiwasilisha kwake hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifanya mazungumzo na balozi wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia  Jenerali Ibuge akimtambulisha  balozi mteule wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia  Jenerali Ibuge akimtambulisha  balozi mteule wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika mazungumzo na  balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha  balozi mteule wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wakati balozi mteule wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar akiwasilisha hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar, Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na maafisa wa Ubalozi na wa Ikulu wakifurahia envobaada ya Balozi huyo kukabidhi hati zake za Utambulisho  kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages