LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2020

RAIS DK. CHAKWERA WA MALAWI AONDOKA LEO JIONI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. LazarusM acCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera anayewapungia mkono Wamalawi wanaoishi Tanzania waliojitokeza kumuaga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera wakati akimsindikiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera anayeagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera  katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipunga mikonu kuwaaga Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera  wakati wakiondoka katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Ben Mashiba na Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Chembe Muthali baada ya kumsindikiza  Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202. (PICHA ZOTE NA IKULU) 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages