LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 8, 2020

MARAIS DK. MAGUFULI NA DK. CHAKWERA WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA MABASI YA SAFARI ZA MIKOANI NA NCHI JIRANI CHA MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. LazarusMcCarthy  Chakwera, wakifunua jiwe la msingi kuzindua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kisasa cha mabasi ya safari za kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis leo Alhamisi Oktoba 8, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakiwasili kuweka jiwe la msingi eneo Mbezi Luis jijini Dar es salaam ambako mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani leo Alhamisi Oktoba 8, 2020

Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akiongea na wananchi kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati hafla hiyo ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani  eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020

Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy  Chakwera kwenye hafla ya viongozi hao kuweka jiwe la msingi eneo Mbezi Luis jijini Dar es salaam ambako mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani unatekelezwa leo Alhamisi Oktoba 8, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakipata maelezo juu ya  mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo  Alhamisi Oktoba 8, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. LazarusMcCarthy  Chakwera, wakijiandaa kufunia jiwe la msingi kuzindua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kisasa cha mabasi ya safari za kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis leo Alhamisi Oktoba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. LazarusMcCarthy  Chakwera, wakifunua jiwe la msingi kuzindua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kisasa cha mabasi ya safari za kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis leo Alhamisi Oktoba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. LazarusMcCarthy  Chakwera, wakisoma maelezo kwenye jiwe la msingi baada ya kulifunua kuzindua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kisasa cha mabasi ya safari za kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis leo Alhamisi Oktoba 8, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. LazarusMcCarthy  Chakwera, baada ya wote wawili kufunua jiwe la msingi kuzindua mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kisasa cha mabasi ya safari za kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis leo Alhamisi Oktoba 8, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakitembelea  mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo Alhamisi Oktoba 8, 2020. Aliyenyoosha kidole kuwaelekeza jambo ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Suleman Jaffo.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakiaga baada ya viongozi hao kuweka jiwe la msingi la  mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo  Alhamisi Oktoba 8,2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakiaga baada ya viongozi hao kuweka jiwe la msingi la  mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam leo  Alhamisi Oktoba 8,2020 (PICHA ZOTE NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages