LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2020

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BUMBWINI MAKOBA, ZANZIBAR, LEO

Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein  Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa sera za Chama na kuomba kura kwa Wanannchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala(Mabodi) wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo jimbo la Bumbini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja, [
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein  Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwaombea kura wagombea nafasi za Uongozi wagombea mbali mbali wa Urais wa Zanzibar pia na Rais wa Muungano,Ubunge ,Uwakilishi na Udiwani  wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 Wagombea Ubunge na Uwakilishi CCM Jimbo la Bumbwini wakionesha Ilani walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages