Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa jimbo la Arusha mjini mkoani Arusha mkoani katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo Ijumaa Oktoba 23, 2020.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Komredi Zelothe Steven akizungumza wakati alipokuwa akimkaribisha mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli ili kuzungumza na wananchi wa Arusha.
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Mh, Edward Lowasa kutoka kushoto na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwa wakimpokea mgombea Urais alipowasili kwenye mkutano huo.
Kutoka kulia ni Rodrick Mpogolo Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Zelothe Steven Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha na Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha Mrisho Gambo wakimpokea Mgombea Urais Dk. Magufuli hayupo pichani katika mkutano huo.
Picha zikionesha baadhi ya wagombea udiwani wa mkoa wa Arusha na viongozi wa mkoa huo wakiserebuka na muziki wa msanii Nady hayupo pichani alipokuwa akitumbuiza jukwaani.
Viongozi wa Dini wakifanya maombi kwa ajili ya mkutano huo leo.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Humphrey Polepole akitoa ratiba ya mkutano huo kabla ya viongozi mbalimbali kuzungumza.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo Ijumaa Oktoba 23, 2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika leo Ijumaa Oktoba 23, 2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo Ijumaa Oktoba 23, 2020.
Baadhi ya wazee wa Chama cha Mapinduzi mkoani Arusha. jijini Arusha wakishiriki mkutano huo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini mkoani Arusha alipowasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mgombea Ubunge jimbo la Arusha mjini Ndugu Mrisho Gambo akizungumza na wapiga kura wa jimbo lake na kumuombea kura Rais Dk.John Pombe ili wamchague kwa kura nyingi ifikapo Oktoba 28,2020.
Baadhi ya wana CCM wakiwa wamefurahi huku wakishangilia kwa kupiga kelele na kupuliza mavuvuzela wakati Rais Dk. John Pombe Magufuli alipohutubia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM Ndugu Richard Lowasa akiumuombea kura Rais Dk. John Pombea Magufuli.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na MNEC wa mkoa wa Arusha Bi. Namelok Sokoine wakifuatilia matukio katika mkutano huo.
Mwanamuziki Naseeb Abdul “Diamondplatnamz akitumbuiza jukwaani katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo.
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ili kumsikiliza mgombea Uraiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli.
Wasanii Madee na Dogo Janja wakitumbuiza katika mkutano huo.
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ili kumsikiliza mgombea Uraiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇