Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkuu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya
kuzindua Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International leather
Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la Karanga Moshi
mkoani Kilimanjaro jana.
. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya
viatu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo kwa
ajili ya mke wake mara baada ya
kumnunulia katika Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la
Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro jana mara baada ya kukizindua. PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇