LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2020

MGOMBEA MWENZA URAIS CCM, MAMA SAMIA AKUTANA NA WASANII MJINI KATAVI WAKIONGOZWA NA ALI KIBA

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa Bongo Flavour Ali Kiba na Asley walipomtembelea kwenye Ikulu ndogo ya  Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 07,2020. Makamu wa Rais yupo Mkoani Katavi akiendelea na ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Msanii wa Bongo Flavour Ali Kiba wasanii walipomtembelea kwenye Ikulu ndogo ya  Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 07,2020. Makamu wa Rais yupo Mkoani Katavi akiendelea na ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Picha ya pamoja na Wasanii wa Bongo Flavour waliongozwa na Mkongwe na muziki huo Ali Kiba walipomtembelea kwenye Ikulu ndogo ya  Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 07,2020. Maakamu wa Rais yupo Mkoani Katavi akiendelea na ziara za kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages