LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2020

KONGAMANO LA KIHISTORIA LA KUHUBIRI AMANI NA UPENDO PAMOJA NA DUA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa mikoa mitâtu ya Unguja katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu. 07/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kulia) akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Serif Ali Iddi pamoja na Viongozi wa Dini wakiitikia dua iliyoombwa katika  Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua  katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu. 07/10/2020.
Viongozi wa Dini ya Kikiristo ni miongoni mwa  Wananchi  waliohudhuria katika Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu. 07/10/2020

 Viongozi wa Dini mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa katika  Kongamano la Kihistoria la kuhubiri Amani na Upendo pamoja na dua  katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu. 07/10/2020.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages