LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 11, 2020

MAMIA YA WANACHAMA CCM NA WANANCHI WA VIJIBWENI WAJITOKEZA MKUTANO WA KAMPENI


Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigamboni, Henry Chaula (kushoto) akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kwa tiketi ya CCM, Faustine Ndugulile wakati wa Mkutano wa Kampeni KigamboniDar es Salaam.



WWananchi wakimsikiliza Mwenyekiti CCM Wilaya ya Kigamboni, Henry Chaula alipokuwa akizungumza jambo katika mkutano huo.

Wasanii wa kundi la Makirikiri wakitoa burudani katika Mkutano huo.

Baadhi ya viongozi wakipunga mikono kwa ishara ya kumpa kura zote  Mgombea Urais wa CCM, Rais John Magufuli, Mgombea Ubunge na Diwan.



Mgombea Udiwani Viti Maalum, Daima Utanga toka Tarafa ya Kigamboni Kata ya Vijibweni Wilaya ya Kigamboni, akipiga magoti kwa ishara ya heshima akiomba kura za Urais, Ubunge na Udiwani kwa Wanachama wa CCM na kwa Wananchi walio jitokeza katika Mkutano huo wa Kampeni. 




Vijana wa hamasa wakitoa burudani katika Mkutano huo 

Mwenyekiti wilaya ya Kigamboni, Henry Chaula akimnadi Mgombea Udiwani kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Zacharia Mkundi (kulia)  wakati wa Mkutano huo uliofanyia leo Octoba 11, 2020 Dar es Salaam.



Mgombea Udiwani Zacharia Mkundi akijinadi kwa wananchi. 

Dk.Faustine Ndugulile akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Wanachama na wananchi. 



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages