Abbas Mtemvu Akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, wakati wa kampeni hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya Makangarawe Oktoba 24 Dar es Salaam.
Abbas Mtemvu akiteta jambo na Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave wakati wa kampeni zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya Makangarawe Oktoba 24 Dar es Salaam.
Abbas Mtemvu akimkaribisha Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, wakati alipowasili katika Mkutano wa kampeni hizo.
|
Add caption
|
Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, Dorothy Kilave, akizungumza jambo na wanachama na wananchi waliojitokeza kumsikiliza wakati wa kampeni hizo zilizofanyika katika viwanja vya Kata ya Makangarawe Oktoba 24 Dar es Salaam..
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇