LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 21, 2020

DK MAGUFULI AWAONESHA WANANCHI MFANO WA FOMU YA KUPIGIA KURA ZA RAIS



 Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwaelekeza Wapiga Kura katika Jimbo la Mwanga jinsi ya kumpigia Kura yeye kwa kuweka TIKI  pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo katika mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 21 Oktoba 2020.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages