LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 27, 2020

Video: TUMEUMIZWA SANA NA TUKIO HILI, WAKAMTEKA WAKAMUUA KADA WETU KIJANA IMETOSHA-POLEPOLE


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akizungumza na vyombo vya habari, jijini Dodoma leo, kuhusu mauaji ya Kada kijana wa chama hicho ambaye alikuwa  Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa na kulitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi haraka kuwabaini waliofanya mauaji hayo. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages