LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2020

USHINDI WA DK MAGUFULI HAUNA MJADALA, KILICHOBAKI NI KUSAKA KURA ZA HESH...





MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa kupitia CCM, Dk. Ritta Kabati, amesema ushindi kwa Mgombea Urais wa Tanznania kupitia CCM hauna mjadala, kilichobaki ni kutafuta kura nyingi za heshima.



Dk. Kabati alitoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM katika Jimbo la Kalenga, ambapo alisema kura zitasakwa kwa wana CCM, wapinzania na wasio na chama.

Ili nisimalize uhondo, endelea kusikiliza kupitia video hii.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages