LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 2, 2020

UKISAJILI DRONE KUOMBA KIBALI KUTUMIA MKOA MWINGINE NI BURE- TCAA

 

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania imetoa ufafanuzi juu ya suala lililozua gumzo mtandaoni la usajili wa ndege zisizo na rubani ‘Drones’, gharama zake na pale inapotokea mmiliki wa ‘Drones’ akitoka nje ya eneo alilosajili ‘Drone’ yake.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages