Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jana jioni Uwanja wa Wembley Jijini London.
Arsenal ilitangulia kwa bao la Nahodha wake, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 12 kabla Takumi Minamino kuisawazishia Liverpool dakika ya 73.
Waliofunga penalti za Arsenal ni Reiss Nelson, Ainsley Maitland-Niles, Cedric Soares, David Luiz na Aubameyang na za Liverpool walifunga Mohamed Salah, Fabinho, Minamino na Curtis Jones,wakati Rhian Brewster alikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇