LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 28, 2020

TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 11 UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

 

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi katika kalenda ya FIFA Oktoba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Maana yake mechi za Raundi ya Sita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizopangwa kuchezwa kati ya Oktoba 9 na 12 zinaweza kuahirishwa kupisha mchezo huo. 





No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages