LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2020

TAASISI ZA UTURUKI ZAGAWA MSAADA WA MBUZI WA KUFUGA KWA WANANCHI RUFIJI

 

Mwakilishi wa Taasisi ya HAK hapa nchinI Tanzania, Shaban Mlongakweli akitoa semina kwa wananchi wa Rufiji kabla kuwakabidhi mbuzi kwa ajiri ya kufuga lengo ni kukuza uchumi wa wananchi wa eneo hilo. Mbuzi hao wametolewa na Taasisi ya HAK wakishirikiana na Top Change Empowerment Foundation zilizopo nchini Uturuki. PICHA NA ASHRACK MIRAJI



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages