LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2020

OKASHI AMHAKIKISHIA DK MAGUFULI KUZOA KURA LUKUKI MKOA WA DODOMA+VIDEO

 MGOMBEA Ubunge Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma kupitia CCM, Halima Okashi akifanya kampeni katika mkutano uliofanyika Kata ya Makore, jijini Dodoma, ambapo ameahidi yeye na viongozi wa CCM wa mkoa huo, kufanya kampeni za nguvu ili Mgombea Urais wa Tanzania, kupitia CCM, Dk. John Magufuli na wagombea ubunge na madiwani wa chama hicho wapate ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages