Wananchi wa Iringa mjini wakiwa wamefurika katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kuwasili wakati akitokea jijini Dodoma leo tarehe 28 Septemba 2020.
PICHA NA IKULU
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi wa Iringa mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Iringa Mjini katika mkutano wa Kampeni wa CCM uliofanyika leo tarehe 28 Septemba 2020 katika uwanja wa CCM Samora.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇