LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 28, 2020

Video: DK MWANJELWA ATAJA MIRADI LUKUKI AKIMUOMBEA KURA DK MAGUFULI KYELA

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia CCM, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa akipiga magoti kumuombea kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kyela na wagombea udiwani wa CCM  wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata ya Ipinda, wilayani Kyela, Mbeya.
Dk. Mwanjelwa akiungana na wananchi kucheza kwa furaha wakati wa kampeni hizo ambapo yeye alikuwa mgeni rasmi.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages