LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 2, 2020

MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO ABUBAKARI ASENGA ASEMA PIGA UA 'MAGUFULI MITANO TENA',


Nimesikia wapinzani fulani-fulani wanaema eti Rais Magufuli kaleta maendeleo ya vitu na siyo ya watu, sisi wana Kilombero tunasema tunataka hivyo vitu kwa sababu vitu hivyo vinatumiwa na watu kwa sababu sisi ndiyo tunavitumia. Rais Maguli katujengea daraja Kilombero, Wanakilombero wote tutampa kura zote.... Mbowe anasema eti Magufuli kajenga Uwanja wa Ndege kule Chato, Uwanja ule ni wa Wananchi, Mbona kule Kilimanjaro umejengwa Uwanja wa Ndege (KIA) pale Moshi liliko jimbo lake, tusema kajengewa yeye? huu ni upuuzi mtupu, .... Halafu wanasema eti CCM inajaza kwa sababu ya Wasanii, Wasanii wenyewe wanajua nani mbaya wao... Wanajua CCM ndiyo kipenzi chao ndiyo maana wanaifuata...
Sisi Wana Kilombero na Watanzania Wote tunasema piga ua, MAGUFULI MITANO TENA. Sasa hebu nisimalize uhondo msikilize mwenyewe kwenye clip hii 👇👇


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages