LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 12, 2020

MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM MWANZA AWAPIGIA DEBE LA NGUVU DK MABULA, DK MAGUFULI +VIDEO

Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela, Dk. Angeline Mabula

 Mgombea Ubunge Mteule wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo, ameshiriki mkutano wa kampeni kwa kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela, Dk. Angeline Mabula , Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli pamoja na madiwani. Kampeni hizo zilifanyika  hivi karibuni viwanja vya Nyakato Sokoni, Ilemela. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages