LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 21, 2020

MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA ASALIMIA WANANCHI AKIELEKEA MAKETE



 Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Makoga Jimbo la Wanging'ombe Wilaya ya Makete alipokuwa njiani akielekea Makete Mjijni kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo  

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages