LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 21, 2020

DK MAGUFULI AWASILI TABORA, CHOPA YA KAMPENI YAWA KIVUTIO UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Tabora mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya kuwahutubia katika Mikutano ya Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020.



Chopa ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM ikipiga Salute kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages