LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 14, 2020

MAMA SAMIA ASAKA KURA ZA JMP NAMTUMBO MKOANI RUVUMA, LEO

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana   na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Mchomoro Namtumbo  alipokuwa njiani akielekea Nantumbo Mjini kwa ajili ya kuhutubia mkutano  ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 14,2020. Makamu wa Rais ameanza ziara rasmi ya kampeni Mkoani Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)      

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages