LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 11, 2020

MAMA SAMIA ACHANJA MBUGA HADI NEWALA MJINI KUSAKA KURA ZA JPM, AMKABIDHI ILANI YA CCM MZEE MKUCHIKA, LEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM ambae, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya CCM ya 2020/25 Mbunge mteule kwa tiketi ya CCM Jimbo la Newala Mjini Kapten Geoge Huruma Mkuchika, baada ya kumnadi kwa awananchi na kuomba kura za Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Uwanja wa Sabasaba Newala Mjini mkoani Mtwara, leo.

 Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Mama Samia leo (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages