Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Itigi katika wilaya Manyoni mkoani Singida mara baada ya kumaliza mikutano ya Kampeni katika mkoa wa Tabora leo tarehe 22 Septemba 2020.
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida mara baada ya kuwasili akitokea mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇