LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 30, 2020

DK MAGUFULI AKISAKATA MUZIKI NA RAY VAN, MTOTO GRACE KAMPENI ZA MBEYA



Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na Msanii wa Kizazi kipya Ray Van mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na kijana mdogo aliyejulikana kwa jina moja la Grace Kichori (5) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wasanii (hawaonekani pichani) mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.

 Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika mkungu wa ndizi aliopewa na Msanii wa Bongo Flavor Ray Van mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mbeya katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Airport jijini Mbeya leo tarehe 30 Septemba 2020.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages