LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 7, 2020

DIAMOND NA ZUCHU WANOGESHA MKUTANO WA KAMPENI WA JPM ULIOVUNJA REKODI YA NYOMI UWANJA WA KIRUMBA JIJINI MWANZA, LEO

Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz
baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz akifurahia kofia aliyopewa zawadi na mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
Msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz akitumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
 Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungiana mikono na msanii Zuchu aliyetumbuiza  maelfu kwa maelfu ya
wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020
 Mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages