LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2020

BASHUNGWA APIGA MAGOTI BUKOBA MJINI KUMUOMBEA KURA ZA KISHINDO MGOMBEA URAIS WA CCM DK. MAGUFULI


Waziri wa Viwanda na Biashara, mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akiwa amepiga magoti kumuombea kura za kishindo kwa asilimia 100 Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani kwa mkoa Kagera katika uwanja Mayunga, Bukoba mjini, jana, Septemba 02, 2020

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages