LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 22, 2020

VIFIJO NA NDEREMO VYATAWALA WAKATI YANGA IKIZINDUA WIKI YA MWANANCHI 2020 JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msola akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi katika sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa, jijini Dodoma.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kalabu hiyo, Frederick Mwakalebela na kushoto ni Suma Mwaitenda Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Fifijo na nderemo vilitawala wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi





Suma Mwaitenda akielezea lengo la Wiki ya Mwananchi ambapo alisema kuwa ni kuwarejeshea wahitaji kwa wanaYanga kujitolea damu, kutoa misaada kwa wenye uhutaji, kufanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali.











 

1 comment:

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages