LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 22, 2020

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI ACHUKUA FOMU NEC KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KONGWA, LEO

 

Spika wa Bunge, Job Ndugai akionyesha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa baada ya kupewa leo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Dk. Omary katika Ofisi za Halmashauri hiyo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages