RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kufungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa K ilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir mara baada ya kufungua kufungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(wa pili kulia) Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Dkt.Makame Ali Ussi,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Uvivi Zanzibar ZAFICO Nd,Zahran Kassim alipotembelea Mabanda mbali mbali ya Maonesho katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(wa pili kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalaa Saadala,
Samaki aina mbali mbali wakiwa katika Banda la Idara ya Uvuvi ZAFICO katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Wajasiriamali wa Vikundi vya Kilimo cha mwani wakiwa katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kilimo katika Jeshi la Kujenga Uchumi JKU Kanali Jabir Saleh Simba wakati alipotembelea Mabanda ya Maonesho ya jeshi hilo katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiuliza suala kwa Kamanda wa JKU Staff Sajent Msheba Ussi Msheba wakati alipotembelea Mabanda ya Maonesho ya jeshi hilo katika kilelele cha Siku ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,akiwepo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kulia ka Rais).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka kwa Kamanda Mkuu wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU Kanali Ali Mtumweni (wa pili kushoto) mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya kilimo na ufugaji wa jeshi hilo katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Kaimu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Haji Omar Kheir.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwapungia mkono wananchi wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, (katikati) Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi ya Ndizi na Mayai kutoka kwa Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya kilimo na ufugaji kwa Chuo hicho wakti wa maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Dkt.Kassim Gharib (kushoto) wakati wa kutembelea mabanda ya maonesho ya maadhimisho ya siku ya wakulima nanenane yaliyofanyika leo katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,(wa tatu kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalaa Saadala, .(PICHA NA IKULU)
Your Ad Spot
Aug 4, 2020
UFUNGUZI MAONESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKULI NANE NANE ZANZIBAR WATIA FORA
Tags
Zanzibar#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Zanzibar
Tags
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇