LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 4, 2020

JAJI MSTAAFU AIONYA CHADEMA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi, amekionya chama cha siasa cha upinzani Chadema kuacha kukiuka Katiba na Sheria za nchi hiyo, baada ya chama hicho kusema kimenajisi Wimbo wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages