LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 24, 2020

MBUNGE WA ZAMANI MULLA AMPONGEZA MTEGA MGOMBEA UBUNGE MTEULE MBARALI

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mkoa wa  Mbeya, Haroon Mulla Pirmohmed akimpongeza Francis Mtega ambaye jina lake limepitishwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi kugombea Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Mtega katika kura za maoni alishika nafasi ya pili. PICHA NA ASHRACK MIRAJI.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages