LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 31, 2020

MAKOA AMWAHIDI RAIS MAGUFULI KUPATA KURA NYINGI KONDOA MJINI

Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Mjini, Ally Makoa  (kushoto), akipokea kitabu cha Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ali baada ya kujinadi yeye na kumwahidi mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli kura za nyingi za ushindi Kondo Mjini, wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM, kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Agosti 29, 2020. Jimbo hilo ndipo ilipo Ikulu ya Rais. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Makoa akijinadi huku akisikilizwa kwa makini na viongozi amabao ni; Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mgombea urais wa Tanznania Kupitia CCM, Dk. John Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete na mgombea urais Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Ali Mwinyi.







Makoa akiondoka baada ya kukabidhiwa Kitabu cha Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages