LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 28, 2020

KIJANA WA KITANZANIA AJENGA UWANJA WA SOKA WA KISASA

 


Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametembea kiwanja cha mpira kilichojengwa wilayani Karatu mkoani Arusha na kijana wa kitanzania,nakupongeza uwekezaji uliofanyika ikiwemo matumizi ya nyasi za kawaida zakunyeshewa maji  nakusema watashirikiana naye katika kuinua vipaji ikiwa ni pamoja nakupeleka timu za vijana

Kwa upande wa mmiliki wa uwanja huo Nickson Marik ameipongeza serikali kwa jinsi inavyoshirikiana naye pamoja na uongozi wa TFF uliotembelea eneo hilo

Tunashukuru kwa uongozi wa TFF,tutoe pongezi kwa serikali imekuwa ikitusupport haya yote ya wamu ya tano tusingeyafikia  kama sio serikali”-Nickson

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages