Msanii Keysha ameibuka Mshindi kwenye zile nafasi 3 za Wanawake wenye ulemavu (UWT) zilizokuwa zinatafutwa, Keysha amepata kura 38, na anaungana na wenzake Stella Ikupa mwenye kura 94, na Ummy Ndeliyananga kura 38 kugombea Ubunge(UWT).
Your Ad Spot
Aug 11, 2020
KEYSHA AIBUKA MSHINDI UBUNGE VITI MAALUM
Tags
featured#
siasa#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇