LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 11, 2020

KEYSHA AIBUKA MSHINDI UBUNGE VITI MAALUM

      Msanii Keysha  ameibuka Mshindi kwenye zile nafasi 3 za Wanawake wenye ulemavu (UWT) zilizokuwa zinatafutwa, Keysha amepata kura 38, na anaungana na wenzake Stella Ikupa mwenye kura 94, na Ummy Ndeliyananga kura 38 kugombea Ubunge(UWT).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages