Famila ya Bwa Gerald Rugarabamu wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Gerald Mbakileki Rugarabamu kilichotokea jumapili asubuhi tarehe 9.8.20katika hospital ya Rubinsia Tegeta Dar es salama, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Wazo hill Mivumoni Dar es salaam.
Kwa taarifa zaidi za mipango ya mazishi. Wasiliana na mtoto wa marehemu Victor Rugarabamu +255 767 605 161.
Marehemu Rugarabamu, ambaye alikuwa mmoja wa ma-Katibu Wakuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya kwanza baada ya Uhuru, amefariki akiwa na umri wa miaka 98. Picha wa tano kutoka kushoto mstari wa nyuma anaonekana marehemu akiwa na makatibu wakuu wa kwanza wenzie na Hayati Baba wa Taifa.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇