LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 19, 2020

JPM AENDELEA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO AGOSTI 19, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Chama pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akianza kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya Kikao hicho mkoani Dodoma leo tarehe 19 Agosti, 2020 mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages