LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 25, 2020

DK. ASHATU KIJAJI WA CCM AFURAHIA BAADA YA NEC KUMTEUA KUGOMBEA UBUNGE KONDOA VIJIJINI + VIDEO

Mgombea ubunge Mteule wa CCM Jimbo la Kondoa Vijijini, Dk. Ashatu Kijaji akiwa na furaha baada ya kupata fomu  ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea jimbo hilo. Dk. Kijaji ambaye alikuwa mbunge wa jimbo hilo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, endapo hakutakuwa na pingamizi lolote dhidi yake  na muda wa pingamizi kupita, NEC inaweza kumtangaza kwamba amepita bila kupingwa katika kinyang'anyiro hicho.

Kkampeni zimeanza leo Jumatano Agosti 26 ambapo Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Dk. Kijaji akifurahia



Ilikuwa ni nderemo na kucheza baada ya Dk. Kijaji kupita bila kupingwa. Dk. Kijaji ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango.






Akizungumza na wananchi 



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages