LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 2, 2020

SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC SH MILIONI 100 KWA KUTWAA TAJI LA TATUMFULULIZO LIGI KUU


Wadhamini wakuu wa klabu ya Simba SC, Sport Pesa Tanzania wakiwakabidhi mfano wa hundi ya Shilingi Milioni 100, Nahodha wa klabu hiyo, John Raphael Bocco baada ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululzo. Fedha hizo zimetolewa kama sehemu ya makubaliano ya mkataba wa udhamini uliosainiwa mwaka 2017 

1 comment:

  1. Nice post. I have a news football site from my country. If you have a free time. You can visit here.
    บาคาร่า

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages