LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 16, 2020

SADC YAZIPONGEZA TANZANIA NA MAURITIUS KUPANDA KIUCHUMI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu akifungua Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya mtandao, kwaniaba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Maafisa waandamizi wa Tanzania wakishiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya TEHAMA, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu akifungua Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya mtandao, kwaniaba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akichambua nyaraka za Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya TEHAMA, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Utafiti wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Suleiman Missango.
6.
4.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages