Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
John Pombe Magufuli ameahirisha sherehe za Mashujaa zilizopaswa kufanyika tarehe 25
Julai, 2020 Jijini Dodoma.
Pamoja na kuahirisha sherehe hizo, Mhe.
Rais Magufuli amewataka Watanzania wote kutumia siku hiyo kuwakumbuka na kuwaombea Mashujaa wote waliojitoa kwa ajili ya nchi yetu na hata
wale
ambao wametoa mchango mkubwa katika ngazi mbalimbali zikiwemo mtu mmoja mmoja na familia.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇