Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli
akipita na kukagua Daraja la Mkapa linalopita katika Mto Rufiji mkoani
Pwani wakati akitokea Masasi Mtwara kwenye msiba wa Marehemu Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo tarehe 30 Julai
2020. Daraja hilo linalounganisha Pwani na Mikoa ya Lindi na Mtwara
lilijengwa na Serikali ya Awamu ya Tatu chini ya Rais Mstaafu
wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa
Your Ad Spot
Jul 31, 2020
RAIS MAGUFULI AKIPITA KWENYE DARAJA LA MKAPA RUFIJI
Tags
featured#
Habari#
Share This
About Richard Mwaikenda
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇