Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Mjini Unguja alipowasili katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Mjini Unguja.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifurahia ngoma ya Kibati alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Mjini Unguja
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Mjini Unguja katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar leo Julai 02,2020. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya Kichama Mkoa wa Mjini Unguja. . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wajumbe wakimsikiliza

Your Ad Spot
Jul 2, 2020
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AENDELEA NA ZIARA YA KICHAMA MKOA WA MJINI UNGUJA
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇