Barozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu (wa nne kushoto )
akiwa na baadhi ya wageni kutoka Uturuki ambao wamekuja kusherekea
sikukuu ya Eid Alhaj na kutoa sadaka kwenye familia zisizo jiweza. Kulia ni Mwakilishi kutoka Tasisi ya Humanitarian Aid Organization, Shaban Yusuph ambayo ipo hapa nchini. Wengine kutoka kushoto ni Farid Mnakatu, Samih Çavuş, Murat Aydın na Kassim Akın (wa pili kulia). PICHA NA ASHRACK MIRAJI
Your Ad Spot
Jul 29, 2020
Home
featured
habari picha
BAROZI DAVUTOGLU WA UTURUKI AWAPOKEA WAGENI WATAKAOTOA SADAKA SIKUKUU YA EID ALHAJ
BAROZI DAVUTOGLU WA UTURUKI AWAPOKEA WAGENI WATAKAOTOA SADAKA SIKUKUU YA EID ALHAJ
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About Richard Mwaikenda
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇