LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 6, 2020

MPOGOLO: WABUNGE, MADIWANI WALIOSHINDWA KUWAJIBIKA KWA WAPIGA KURA WAO HAWATAPITISHWA KUGOMBEA



Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa wabunge na madiwani walioshindwa kuwajibika kwa wapiga kura wao, hawatapitishwa tena katika mchakato wa uchaguzi mwaka huu. Msimamo huo ulitolewa juzi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo akiwa wilayani Korogwe mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages